Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi  Seif Ali Iddi kulia akibadilishana mawazo na Madaktari Mabingwa kutoka Nchini Cuba hapo kwenye Makazi yao Mnazi Mmoja Mkabala na Bustani ya Victoria ambao wanaendelea kutoa mafunzo ya Udaktari kwa Madaktari wazalendo wa Zanzibar. Kati kati aliyevaa koti jeusi ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Saleh Mohamed Jidawi.
  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Saleh Mohamed Jidawi Kushoto aliyevaa koti akitoa maelezo mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Balozi Seif wa pili Kulia mara baada ya kukagua matengenezo ya nyumba ya Mabingwa wa Udaktari kutoka Cuba Hapo Mnazi Mmoja. Wa pili kushoto ya Dr. Jidawi ni Mkuu wa Mafunzo ya udaktari kutoka  Cuba Dr. Irene Nodarse Toprres na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Madaktari hao wa Cuba Dr.Fred.
 Mkurugenzi Mauzo  Kimataifa wa Maonesho ya biashara kutoka Nchini Uturuki { Meridyen International Fair Organisation Limited } Bwana Nuvit Becan akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi  Seif azma ya Taasisi yake kutaka kufanya maonyesho ya Kibiashara Zanzibar.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya Maonesho ya Kibiashara kutoka Uturuki hapo Ofisini kwake Jengo la Baraza la Wawakilishi Mbweni. Kulia ya Balozi ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Bwana Nuvit Becan na kushoto yake ni Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Mh. Thuwaiba Kisasi na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Nd. Julian Raphael. 
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...