Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) akizindua Kisima cha maji katika Shule ya Sekondari Kinambeu, wilaya ya Iramba Mkoani Singida, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda na Kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira, Noreen Mazalla.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda na Kushoto na kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira, Noreen Mazalla.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto), akizindua kisima cha maji katika Shule ya Sekondari Kinambeu iliyopo katika Wilaya ya Iramba Mkoani Singida.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akimtwisha ndoo ya maji mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinambeu, Joyce Zakaria, baada ya kuzindua kisima cha maji shuleni hapo. Hafla hiyo ilifanyika Mkoani Singida, mwishoni mwa wiki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...