Baadhi ya wafanyakazi wenzake wakitoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa aliyekuwa mwanasheria wa Wizara ya Maliasili na Utalii marehemu Luke Seyayi iliyofanyika katika kanisa la AIC Magomeni jijini Dar es salaam.
Wanasheria wenzake wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu Luke Seyayi tayari kwa mazishi katika makaburi ya Kinondoni.
Wanasheria wenzake wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu Luke Seyayi tayari kwa mazishi katika makaburi ya Kinondoni.
Familia ya Seyayi Mama mzazi (watatu toka kushoto) wakiwa na nyuso za uzuni.
Kaka zake Marehemu wakiweka shada la maua.
Saddened by young deaths, RIP.
ReplyDelete