Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akipokea album Mbili za nyimbo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kikundi cha Muzik cha "Zanzibar Modern Taarab"Abdalla Ali akiwa mgeni rassmi katika sherehe za Kikundi kutimiza Miaka 7 Tokea kuanzishwa,hata hivyo Rais amekichangia kikundi hicho Shillingi za kitanzania Millioni Nane,hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Kikundi cha Muzik cha "Zanzibar Modern Taarab" akiwa mgeni rassmi katika sherehe za Kikundi hicho kwa kutimiza Miaka 7 Tokea kuanzishwa, Rais amekichangia kikundi hicho Shillingi za kitanzania Millioni Nane,hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar.[Picha na Ramdhan Othman,Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...