Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2014

    Mataifa yote makubwa yanaheshimu historia zao. Zanzibar iko ngangari kudai mambo yao kwa kuwa wamehifadhi historia yao. upande wa Tanganyika historia yetu haijaenziwa ipasavyo. Eti wanadia hata jina halijulikani limetokea wapi wakati siyo kweli. Ziwa Tanganyika ndiyo lililoipa nchi yetu jina mwaka 1920 chini ya waingereza.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2014

    Tanganyika ni jina tulilopewa na wakoloni.. TANZANIA ni nchi na jina tulilojipa wenyewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...