Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Hussen Mwinyi akisoma bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi kwa Mwaka 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma.
Mtumishi wa Ofisi ya Bunge Paulina Mavunde akigawa kitabu cha Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujengaTaifa kwa Mwaka 2014/2015 leo
Wabunge wakisoma Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa 2014/2015 leo.
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akiwa amesimama wakati akitambulishwa na Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda kabla ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Hussen Mwinyi akisoma bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi kwa Mwaka 2014/2015 leo.Aliofuatana nao ni Maofisa wa juu wa Jeshi hilo wakifuatilia kikao cha bajeti ya wizara yao.
![]() |
Baadhi ya maofisa waandamizi wa JWTZ wakifuatilia kikao cha bajeti ya wizara yao. |
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakifuatilia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa 2014/2015 leo. Picha na Deusdedit Moshi. Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions wawakilishi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...