Ufunguzi wa Shoo katika Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music umengozwa na msanii wa Bongo Fleva,Hamis Mwinjuma a.k.a MwanaFA akiwa ameambata na Wamasai kawa waonekanavyo pichani.
Selfie ya Ankal na Anti ndani ya Ukumbi wa Mlimani city jijini Dar es Salaam hivi sasa,wakiwa kwenye hafya ya utoaji tuzo za Kili Music Awards.
Tunafatilia ila mpoki awe makin HIV hata yy anaweza kupata
ReplyDeleteduh lips hizo..
ReplyDelete