Libeneke la Glogu ya jamii bado linaendelea kukuletea Kipita shoto bora na Babkubwa kupita vyote ndani ya jiji la Dar,kilichopo katika barabara ya Jamhuri mbele kabisa ya Makao Makuu ya Benki ya NMB.kuna fununu kwamba,kipita shoto hiki kinaweza kuwa ndio kipita shoto bora kabisa katika isti afrika mashariki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2014

    NMB ni Benki kubwa muwajibike hapo kwaajili ya Wateja wenu!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2014

    I love it. It is state of the art `Keep left'. Improvising is one of our greatest skills. Is there no traffic police around the area? The motorbike seems to be breaking the law.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2014

    Mtoa maoni hapo benki wanajenga barabara?
    Address the issue sio kutoa lawama kwa hata asiyehusika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...