Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI)  Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2014

    Enyi watanzania mnafahamu kuwa
    Bajeti ya Kenya mwaka 2014/2015 ni
    $ 20b wakati ya Tanzania ni $ 12.3b tu.Bajeti ya Kenya ni kama mara mbili ya bajeti ya Tanzania.Ninashangaa, maana Nchi yetu ni kubwa, watu wengi, rasilimali nyingi. Kitu gani hakiendi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2014

    Tusipo jenga viwanda.. mwendo wetu utakuwa wa kusuasua. Kwa sasa tunamwihitaji Rais atakaye shughulikia ujenzi wa viwanda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...