Jaji Mkuu Mstaafu, Mhe. Augustino Ramadhani (wa pili kutoka kushoto) akiwa na Mhe. Naimi Aziz, (wa pili kulia) Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia. Wa kwanza kushoto ni Bw. Nsavike Ndatta, Afisa Mambo ya Nje Mkuu wa Ubalozi, na wa kwanza kulia ni Bw. Eutace Lubuva, Afisa Mambo ya Nje Mkuu wa Ubalozi. Jaji Mstaafu Mhe. Augustino Ramadhani, amealikwa kutoa mada katika mkutano wa Umoja wa Afrika wa wataalam wa Sheria unaofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia.
Home
Unlabelled
JAJI MKUU MSTAAFU MHE. AUGUSTINO RAMADHANI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA ADDIS ABABA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...