Mwanamuziki Mkongwe wa Reggae Tanzania. Jhikoman & Afrikabisa Band Live on Sauti Za Busara Festival 2014. Huyu ni Mmoja kati ya wanamuziki wakubwa wa Muziki wa Reggae hapa nyumbani Tanzania pamoja na Afrika Mashariki. Kwa sasa Jhikoman yupo katika Ziara yake ya Ulaya kufanya Maonyesho katika Nchi za mbali mbali.
Home
Unlabelled
JHIKOMAN & AFRIKABISA BAND LIVE ON SAUTI ZA BUSARA 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Yeah.....wana wa Zion......bab kubwaa...mmewakilisha safi sana....ila nashangaa kwanini mnakaa kimya sana hali ya kua tuna matatizo mengi nchini tulitegemea mngetusemea kupitia vipaji vyenu na kutufikishia ujumbe kwa walioziba masikio....yawezekana mnahofu kupotezwa.....bob hakuogopa....alikua akiwapa makavu....
ReplyDeleteRespect to sisters and brethrens of Jhikoman & Afrikabisa band!
ReplyDeleteMdau
Christos Papachristou
Diaspora