Bw. Alfred Martin Elia  a.k.a JP akipokea fomu ya kugombea ujumbe wa kamati ya utendaji wa Simba Sports Club toka kwa Bw. Khalid Kamuguna. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika mwisho wa mwezi juni mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2014

    Nani ni nani katika picha? yaanikushoto na kulia ktk picha.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2014

    Kushoto ni ofisa Club ya Simba akimpatia form Jump Around kulia kuwania ujumbe wa kamati ya utendaji aka kamati ya "ufundi"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...