Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2014

    Huu uana harakati kwa kutumia 'Ulaji wa ndizi' ungepatiwa maelezo ili tuweze kuelewa hasa kwa jamii ya kina sisi wa Migombani na midizidizi ambako ndio Uchumi wetu!

    NDIZI NI UCHUMI NA JAMII KWETU:

    1.Kwa wale wa Uchaggani ambko ndizi hutengenezea Mbegge na kutumika kama sehemu ya kuiunganisha jamii ktk Sherehe Misiba na Mikusanyiko.

    2.Wale wa kule Unyakyusani huko Mbeya ndizi ndio kila kitu Kiuchumi na kadhalika.

    3.Kwa wale wa Dakawa na Mvomero Morogoro ndizi ndio Uchumi wenyewe.

    4.Chalinze na Segera mtakuwa mmewatenga kwa kuwa ndio Uchumi wa vijana ktk Stendi za mabasi yanayo elekea Kanda ya Kaskazini.


    5.Bukoba na Kagera mtakuwa mmewatenga kwa kuwa matoke
    (ndizi) na senene ndio kila kitu kule kwa akina waitu.
    Hivyo kwa jamii hizo 3 haiwaingii akilini kuitumia ndizi ktk harakati za Upinzani ama kufikisha ujumbe ni muhimu waeleweshwe ni vipi na kwa namna gani?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2014

    Nyani anapenda ndizi. na kwa mzungu mbaguzi wewe ni nyani tu hususan ukiwa unapiga chenga nyingi. Rekebisheni uchumi Africa tubaki kwetu. Njaa ndio inatudhalilisha kila siku kwa Kutaka madola na mapaundi ya wazungu. sasa hivi kila mtu anaangalia ligi ya uiengereza. Simba na yanga na akina majimaji ya songea zinaruka ruka tu uwanjani bora ligi imalizike tu. kuzeni soka Africa. wazungu watakuja tu kama mnavyo wafuata. kumbukeni kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza

    BABA YENU MKUBWA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...