Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2014

    Ni kweli kabisa Mh. Kinana!! Tufanye kazi kwa bidii, na wanaotuongoza waache ufisadi na kubebana wao na familia zao. Haki ni lazima ionekane ikitendeka mbele ya macho ya wanajamii!

    Hiyo kauli imekuwa ni adimu sana midomoni mwa viongozi wa zama hizi, ndio maana hata kundi fulani linahisi Mwalimu Nyerere anatakiwa kuwa Mtakatifu, kwani akilinganishwa na viongozi waliokuja baada yake, anaonekana sio binadamu wa kawaida!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...