*NI YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM

*KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

* KUKAGUA MAANDALIZI YA CHAMA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  akiwa na baadhi ya waandishi wa habari watakaoungana na Katibu Mkuu wa CCM, Andulrahman Kinana, katika ziara ya siku 26 katika mikoa ya Tabora, Singida na Manyara itakayoanza kesho katika jimbo la Igunga mkoani Tabora. Nape alipigapicha na na waandishi hao leo baada ya kuzungumza nao kuhusu ziara hiyo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba , jijini Dar eSalaam. Kulia na kushoto ni baadhi ya magari maalum yatakayotumiwa na waandishi hao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2014

    Swali la kizushi Michuzi. Nani analipia gharama za waandishi wa habari kwenye hii trip?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2014

    GO CCM!! GO KINANA!! Vipi UPAWA Wanachota wapi? CCM Ngoma pevu ANKAL! Safar ya salama Jemedari Kinana!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2014

    Swali zuri mdau wa kwanza.........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...