1985 (siku 10 kabla Mwalimu hajastaafu Urais) : Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na waliopata kuwa Waandishi wake wa habari katika picha ya kumbukumbu Ikulu, Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Habibu Halahala (RiP) , Paul Sozigwa, Mwalimu (RiP) Hashim Mbita na Benjamin William Mkapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2014

    Kifo kweli hakina huruma-kama alivoyoimba Dr. Remmy!! Hapo wamebaki wawili tuu! Men in white!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...