Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein kushoto anaepunga mkono akiyapokea maandamano ya Wafanyakazi wa Sekta mbalimbali katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day) yaliofanyika Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.
Mashirika mbalimbali yakipita mbele ya Mgeni Rasmi hayupo pichani katika Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day) yaliofanyika Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.
Wafanyakazi wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo wakipita mbele ya Mgeni rasmi hayupo pichani katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day) yaliofanyika Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein watatu kulia akishikana mikono pamoja na Viongozi mbalimbali wakiimba wimbo wa Mshikamano kwa wafanyakazi ndani ya Ukumbi wa Salama Holl Bwawani Hotel mjini Zanzibar ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day). .jpg)
.jpg)
Baadhi ya Mawaziri pamoja na Wananchi waliohudhuria katika Maadhimishi ya siku ya Wafanyakazi Duniani(May Day)wakiwa ndani ya Ukumbi wa Salama Holl Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...