Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mery Nzuki, akitoa neno mbele ya washiriki wa semina ya mafunzo ya siku tano (hawapo pichani) ya namna ya kukabiliana na makosa ya ukatili wa kijinsia na watoto mafunzo yanayotolewa kwa maofisa na askari wa Jeshi la Polisi kutoka katika mkoa wa kipolisi wa Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mafunzo hayo yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo na kuongeza ufanisi katika kazi.
Baadhi ya washiriki wa semina ya mafunzo ya siku tano ya namna ya kukabiliana na makosa ya ukatili wa kijinsia na watoto wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi rasmi wa semina hiyo yenye lengo la kuwajengea uwezo na kuongeza ufanisi katika kazi.
Picha zote na Demetrius Njimbwi - Jeshi la Polisi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...