Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha na watoto Abdallah Athuman (kulia) na Nasma Jumanne (kushoto) wenye matatizo ya usonji (autism) wakati alipotembelea kwenye Shule ya Msingi Msimbazi Mseto
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika kuimba na kucheza na watoto wenye matatizo ya usonji (autism),wazazi na walimu wakati alipotembelea Shule ya Msingi Msimbazi Mseto
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika kuimba na kucheza na watoto wenye matatizo ya usonji (autism),wazazi na walimu wakati alipotembelea Shule ya Msingi Msimbazi Mseto
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na walimu na wazazi (hawapo pichani) wa watoto wenye matatizo ya usonji (autism) wanasoma katika Shule ya Msingi Msimbazi Mseto mara baada ya kutembelea maeneo mbalimbali ya kituo cha kuwaelimisha watoto hao
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...