DSC_0853 
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Uzini Unguja wakati wa hafla ya kukubidhi Vifaa kwa ajili ya Vikundi vya Ushirika na Madawati ya Skuli ya Msingi Mgenihaji, kulia Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt Idris Muslim Hija na kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif.(Picha na Othman Maulid)
DSC_0875 

MWAKILISHI wa Jimbo la Uzini Mhe Mohammed Raza, akimkabidhi zawadi Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, wakati wa hafla ya kukabidhi madawati ya Skuli ya Msingi Mgenihaji Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Othman Maulid)
DSC_0893

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi Vyarahani Viwili, Nyuzi na Vitambaa. Kiongozi wa  Kikundi cha Kasi Mpya.Ndg. Mwanaisha Mtumwa.(Picha na Othman Maulid)  Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...