Mbunge wa Sumbawanga Mjini , Aeshi Hilaly akimwomba radhi Mwanasiasa mkongwe Dr. Chrisant Mzindakaya (kushoto) wakati alipotakiwa kufanya hivyo na Mkuu wa mkoa wa Rukwa Stella Manyanya (kushoto) katika ibada ya kumsimika Askofu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Rukwa, Conrad Nguvumali kwanye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga Mei 25, 2014.
Home
Unlabelled
Mbunge wa Sumbawanga Mjini,Aeshi Hilaly amwomba radhi Dr. Chrisant Mzindakaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kafanya nini mpaka amwombe radhi? Wawe wawazi
ReplyDeleteWanadhoofisha chama.Old man step aside wacha damu mpya ifanye kazi. Matatizo yachambuliwe na executive ya chama siyo hadharani.
ReplyDeleteGreat go....go.....Mhe. Aeshi. It doesn't cost you to apologize. True Muslim. Allah atakuwa pamoja nawe daima.
ReplyDeleteKwani amefanya nini mpaka aombe radhi, habari haijakamilika.
ReplyDelete