Katika Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University) akiwemo mTanzania anayeishi hapa mjini Maryland, Ismail Bibangamba, ameweza kutimiza ndoto yake ya kufaulu nondo zzz ya Master of Business Administration siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani Comcast Center, College Park Maryland Nchini Marekani.
Ismail John Bibangamba akipita picha ya kumbukumbu baada ya kuchukua nondozzz yake ya Master of Business Administration, siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani ya Mjengo wa Comcast Center, College Park Maryland Nchini Marekani. Picha na (swahilivilla.blogspot.com)
Matumaini: Baadhi ya wanafunzi mbali mbali waliofaulu akiwepo Ismail John Bibangamba wakimsikiliza maelezo maalumu mara tu baada ya kukabidhiwa vyeti vyao katika Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University)
Angalia Mahafali kwenye Video.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...