Katika Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University) akiwemo mTanzania anayeishi hapa mjini Maryland Ismail Bibangamba ameweza kutimiza ndoto yake ya kufaulu nondo ya Master of Business Administration siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani Comcast Center, College Park Maryland Nchini Marekani.
Ismail John Bibangamba akipita picha ya kumbukumbu  baada ya kuchukua nondo yake ya Master of Business Administration, siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani ya Mjengo wa Comcast Center, College Park Maryland Nchini Marekani. Picha na (swahilivilla.blogspot.com)
Matumaini: Baadhi ya wanafunzi mbali mbali waliofaulu akiwepo Ismail John Bibangamba wakimsikiliza maelezo maalumu mara tu baada ya kukabidhiwa vyeti vyao katika Mahafali ya Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University) Angalia Mahafali kwenye Video 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2014

    Hongera sana mheshimiwa, hayo ndo maneno. Naomba ukipata muda tuwasiliane jmakwanga@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2014

    Hongera bwana Ismail, sasa sijui urudi nyumbani au ubaki hukohuko kutafuta. Ukibaki huko ujue ndio umeshakuwa mwana-diaspora. Lakini kumbuka serikali yetu hairuhusu urai pacha, fanya uwamuzi wako mapema kabla hujaweza huko.

    Mghaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...