Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mabati 350 yenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 15 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ya GEPF, Bw. Daidi Msangi (wapili kulia) kwa jili ya kuezezeka madarasa mawili na jengo la utawala la shule ya Msingi ya Kakauni wilayani Mlele May 26,2014. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa katavi Dr. Rajabu Rutengwe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwanasiasa Mkongwe, Dr. Chrisant Mzindakaya (kushoto) na mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly baada ya kupokea mabati 350 yenye thamani ya zaidi ya shilingi millioni 15 kutoka Mfuko wa Hiafadhi ya ya Jamii ya GEPF Mei 26, 2014. Mabati hayo ni msaada kwa ajili ya kuezeka vyumba viwili vya madarasa na jengo la utawala la Shule ya Msingi ya Kakuni wilayani Mlele. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...