| Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA)Paschal Shelutete akitoa ufafanuzi kwa Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wanaoshiriki kongmano jijini Mwanza. |
| Mwenyekiti wa Majadiliano katika kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya Habari nchini Dk Ayoub Rioba akizungumza jambo katika Kongamano hilo. |
| Meneja Ujirani Mwema wa TANAPA Ahmed Mbugi akiwasilisha mada kwa Wahariri wa Habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini katika kongamano linalofanyika jijini Mwanza. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...