Home
Unlabelled
MKE AZIRAI BAADA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITANO YEYE NA MUMEWE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona miaka mitano ni mingi sana bangi tu au kuna lingine......
ReplyDeletewatu wanakamatwa na madawa ya kulevya kila siku na hatujaona waliofungwa.
ReplyDeleteMadawa ya kulevya ni mabaya yanaharibu akili za watu na kusumbua familia nyingi nchini, kabla hujasema hukumu hii ni ndogo fikiria gharama ya kuwa na mtu aliyeathirika na madawa ya kulevya
ReplyDeleteAaaaaaah jamani yaani bangi tu mtu anakwenda jela miaka 5? Mbona huku kwetu Njombe ni mboga? Mbegu zake tunatengeneza mafuta ya kula? Mbona hatujawehuka?
ReplyDeleteUnaanguka chini na kuzirai?
ReplyDeleteMbona ulivyokuwa unawapandisha Kichaa vijana kwa kuwauzia Bangi hukuanguka kwa masikitiko?