Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo UNDP Mhe.Hellen Clark (kushoto) akikaribishwa na Spika wa Bunge Mhe.Anne Makinda mjini Dodoma baada ya kukutana na chama cha wabunge wanawake katika ukumbi wa Spika.
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo UNDP Mhe.Hellen Clark akisaini kitabu cha wageni
Mhe.Hellen Clark (katikati) akizungumza na chama cha wabunge wanawake,kushoto kwake ni mwakilishi wa UNDP hapa nchini Ndugu Philippe Poinsot na kulia kwake Ana Havhannesyan(UNDP Technical Advisor))
Mwenyekiti wa chama cha Wabunge wanawake Mhe.Anna Abdallah (kulia) akishirikiana na Mhe.Dkt.Mary Mwanjelwa kumvalisha vazi la kanga walilomzawadia Mhe.Hellen Clark. Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo UNDP, mjini Dodoma leo.
Picha na Deusdedit Moshi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...