Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Hellen Clark kulia akizungumza na askari wanaopambana na majangili hifadhi ya Taifa ya Ruaha Iringa jana |
Mkuu wa UNDP Hellen Clark kulia akiwa na watendaji wa TANAPA akiwemo mratibuMratibu wa SPANEST Bw Godwell ole Meing'ataki wa pili kulia na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi |
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Hellen Clark akiwa katika gari lililotolewa na UNDP. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...