Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA)Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza katika sherehe ya wajumbe wa bodi na wafanyakazi wa mamlaka hiyo.
Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,Hajira Mmambe akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo (Hawako pichani)
Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,Elizabeth Minde akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2014

    Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Moshi mnastahili hongera na burudani murua kwa kuuweka mji wa Moshi Safi. Endeleeni kwa mwendo huo na miji mingine wajifunze kutoka kwenu kwani tukiamua tunaweza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...