Kaka za masiku, pole na kazi za kila siku. Kuna anko wetu amepotea. Jina lake ni Amir Hussein Binyaga. Yeye ni mkaazi wa Kiluvya jijini Dar na amewahi kuishi Tanga Majani Mapana. Ana umri wa miaka 56 na alipotea tangu tarehe 15/05/2014 saa 12 asubuhi. Hadi leo familia bado inamtafuta. Taarifa zipo kituo cha polisi Kibaha, Maili Moja. Tusaidie iweke kwnye blog yetu kuu. Taarifa zozote tutapokea kupitia namba 0754322317 0754273711, 0653768329, 07182601 |
Home
Unlabelled
Msaada tutani: Anko wetu amepotea, familia yamtafuta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...