Habari za Asubuhi,Ankal
Nimepotelewa na wallet yangu yenye vitambulisho
1. Driving Licence yenye jina la Jubilant Malisa
2. Eco Bank card
3. Kitambulisho cha kazi jina Jubilant Malisa Kampuni Africare
4.AAR Insurance card yenye jina Jubilant Malisa
Kwenye wallet kuna business card yenye jina langu na contacts zangu na visenti 200K+ (sitaviulizia) Kaka unaeendesha gari ya NHC namba ni SU ,uliyetupatia lift jana kutokea goba mpaka Kibamba tukapitia barabara ya makabe kukwepa foleni naomba uangalie siti ya nyuma ya gari lako . Naomba atakayeviona awasiliane nami no 0754566721
Shukrani
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...