Bismillahi Rahmani Rahim

Ungozi wa Madrasatul Amini ya Marhum Sheikh Nassor Amran Iliopo kwa Ali Maua A Chini ya Uongozi na Usimamizi wa Mudiru Alhaj Sheikh Mohammad Nassor Unapenda Kukualika na Kuwakaribisha Wadau wote na Wapenzi Wa Mtume Muhammmad Rehma za Mwenyezi Mungu zimshukie Juu yake Shughuli hii Itafanyika hapa MADRASANI KWETU KWA RATIBA IFUATAYO SIKU YA IJUMAA TAREHE 30 / 5 / 2014 Kuanzia Saa 4 Asubuhi Maonyesho ya Wanafunzi na Baada ya Swala ya ISHAAI MAULIDI YA JUMUIA , MASHEIKH NA WAALIKWA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI WATAHUDHURIA NAWE TUNA KUKARIBISHA KUUNGANA NASI KATIKA JAMBO HILI.

Kwa Mdau yeyote Ambae atahitaji kuchangia Baadhi ya Vifaa kama Maji , Juice N.k Unakaribishwa Ujachelewa.

KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NA 0713526494 / 0712257492 0715800772.
Watendaji wa Kuu na Waratibu wa Shughuli hii MAPACHA NA WAPENZI WA MTUME MUHAMMAD REHMA ZA MWENYEZI MUNGU ZIMSHUKIE JUU YAKE NA AMANI KATIKA Moja ya hafla kama inayo tarajia fanyika Siku ya Ijumaa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...