Shule ya sekondari ya wasichana ya Premier iliyoko Kiromo, Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, inapenda kuwatangazia nafasi za kazi ya ualimu kwa masomo yafuatayo ENGLISH SWAHILI BOOKKEEPING COMMERCE Fika shuleni Kiromo kwa kuleta maombi yako. Siku ya mahojiano ni tarehe 22 na 23 May 2014. Au kwa maelezo zaidi piga simu namba 0715836237 |
Home
Unlabelled
NAFASI ZA KAZI YA UALIMU BAGAMOYO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...