Mhe. Dkt. Maalim akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Waangalizi wa Uchaguzi kwenye Kituo cha Taifa cha Kuratibu Matokeo. Kwa nyuma ni screen zinazoonesha matokeo kutoka sehemu mbalimbali za nchi yanavyoingia.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maali m akielekea kwenye moja ya Vituo vya kupigia kura wakati wa  Uchaguzi Mkuu wa Rais nchini humo uliofanyika tarehe 7 Mei, 2014. Mhe. Dkt. Maalim anaongoza ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi  kutoka Tanzania kama nchi mwanachama wa SADC na pia  mjumbe wa Asasi ya Ulinzi, Siasa na Usalama ya SADC. 
Mhe. Dkt. Maalim akiwa na Waangalizi wengine kwenye moja ya vituo vya kupigia kura mjini Pretoria kabla ya zoezi la upigaji kura kuanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...