Takribani Miezi Miwili baada ya Mbeya FM Redio Kuripoti uwepo wa Chatu ndani ya Jiji la Mbeya Kukazuka Hofu na Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji.
Hali hiyo ikapelekea Kujitokeza kwa Vijana hawa wawili kutokea Bagamoyo na Tanga kwaajili ya kumkamata Chatu huyo.... Hatimaye wamemkamata Chatu Mtoto amekamatwa huku Juhudi zikiendelea Kuhakiki kama kuna Chatu wengineo.... 
Tazama Video Hii
Mtaalamu wa Kukamata Nyoka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...