![]() |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)yuko Bujumbura,Burundi, kwa ziara ya kikazi ya wiki moja. Hapa Prof Mwandosya akiwa na ujumbe wake ana mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Burundi, Joseph Bangurambana .Waliosimama kutoka kushoto ni Bw. Anthony Massawe kutoka DAWASA, Bi Miriam Mahanyu wa EWURA, Wales Chiwawa wa TCAA, na BW. Elias Tamba,Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Burundi. |
Home
Unlabelled
Profesa Mark Mwandosya ziarani Burundi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...