Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro,Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande,pamoja na Rais wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji Wanawake wakiimbaq wimbo wa taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC.Mkutano huo ulifunguliwa na Rais Kikwete.
Baadhi ya majaji wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 12 wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji wanawake unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano mjini Arusha(picha na Freddy Maro).
![]() |
Meza Kuu ikiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano huo kutoka Latin America. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...