Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam![]() |
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia na maafisa wa ubalozi wa Malawi alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
|
Ohhh god....its so hard to believe that she left us so soon....may god rest her soul in eternal place.....amen
ReplyDelete