Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Maxmilian John Ngobe likiwa kwenye viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam mchana wa leo tayari kwa shughuli ya kuagwa na kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni.Max Ngobe alifariki Dunia mwishoni mwa wiki iliyopita kutoka na maradhi ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.

Risala fupi ikisomwa wakati wa Shughuli hiyo na Kuangwa kwa Marehemu Max Ngobe mmoja wa wanahabari wakongwe Tanzania.

Wanahabari wakirekodi tukio la kuaga Mwili wa Marehemu Max.

Sehemu ya waombolezaji wakiwa kwenye foleni ya kwenda kuaga mwili wa Marehemu Max.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...