Home
Unlabelled
VIDEO YA SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poleni wafiwa ndugu na jamaa. Ila naomba niulize: Private ni jina au cheo? Naomba kufahamishwa sifa za marehemu. RIP
ReplyDeleteprivate ni cheo cha jeshi
ReplyDeleteNaona kama sherehe na uzungu kwa sana. Mama wa marehemu ameshndwa hata kujitanda ushungi badala yake amepoteza muda kwenye kujipamba.
ReplyDeletePole sana Salva kwa kuondokewa na kijana wako mpendwa, Mwenyezi kampenda zaidi. Yamepita na maisha inabidi yaendelee.
ReplyDeleteAnonymous said..... Pole kwa mawazo ya kizamani. Hapa kwenu manelumango, mfiwa haogi wala kupaka mafuta. Endelea kudumisha mila za kizamani. BRK
ReplyDeleteKutokuoga au kuwa mchafu kunasaidia nini..... Utanaki na zama zako za kale. @said
ReplyDeletekwani private ni cheo kikubwa sana?naona shughuli za mazishi pevu sana.
ReplyDelete