LILE Shimo hatari lililokuwa kero kwa watumiaji na kuripotiwa na Global TV Online juzi Jumatatu Mei 5, 2014 limezibwa kwa sehemu kubwa. 
Shimo hilo lilikuwa katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jirani na Kituo cha ITV, Mwenge jijini Dar es Salaam. Ungana na Global TV Online kushuhudia shimo hilo lilivyozibwa!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2014

    Ivi hapo ndio limezibwa????mbona kuna sehemu bado zimejaa maji??? acheni utani jamani.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...