Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda leo ameongea na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya mafanikio yaliyopatikana katika misako ya wahalifu na uhalifu, ambapo kumekematwa bastola, gobore , banghi gunia sita mitambo ya kutengenezea pombe ya moshi.
Afande ACP Suzan S. Kaganda KAMANDA WA POLISI
MKOA WA TABORA akionesha gobore iliyotengenezwa kienyeji ikiwa imekatwa
kitako na risasi 2 za shotgun na 3 za SMG/SAR
Pistol Glock17 namba TZ Car 91968 ikiwa na magazine yenye risasi tano
Kamanda akionesha risasi zilizokamatwa
Kamanda akionesha magunia
6 za bhangi na kete 402.
Kamanda akiomnesha Pistol aina ya Glock17 namba TZ Car 91968
Kamnada akionesha gari namba T 636 DUW Toyota Harrier rangi ya
Metalic Silver,Chassis No.100078234,Engine
No.1MZX 0986347 ambalo alishindwa
kulitolea maelezo. Na D/C Fakih Abdul mwandishi wa habari wa jeshi la polisi mkoa wa Tabora
Bangi si za kukamata jamani ....ni dawa
ReplyDelete