Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mwandishi mwandamizi wa Gazeti la Raia Tanzania ,Claud Gwandu ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
TANAPA YAWATUNUKU VYETI WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI WAANDAMIZI WALIOSHIRIKI KONGAMANO JIJINI MWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...