Waziri wa Fedha
Mh.Saada Mkuya Salum akiwa katika majadiliano na viongozi wa Benki ya HSBC
kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere ‘Terminal III’. Majadiliano
hayo yalifanyika katika Hotel ya Mills Colonie Mjini Kigali Rwanda.
Mh.Saada Mkuya
Salum,Waziri wa Fedha akiagana na Mkurugenzi wa Benki ya HSBC baada ya
majadiliano yaliyofanyika katika Hotel ya Mills Colonie Kigali Rwanda.
Waziri wa Fedha
Mh.Saada M.Salum akimsikiliza kwa makini Bi.Erika Rubin mratibu wa mfuko wa
Mkoba Fund wakati wa mkutano wao uliofanyika katika Hotel ya Serena Mjini
Kigali Rwanda. Kulia kwa Mh.Waziri ni Nd.Jovin Rugemarila Afisa
anayeshughulikia masuala ya ADB na mbele yake ni Kamishina msaidizi wa Fedha za
nje –Wizara ya Fedha Nd.Jarome Bureta.
Katibu Mkuu wa
Wizara ya Fedhda Dkt.Silvacius Likwilile akieleza kwa muhtasari yale
yaliyojadiliwa katika mikutano ya Benki ya maendeleo ya Afrika inayoendelea
Nchini Rwanda. Anayemhoji Katibu Mkuu ni mtangazaji wa TBC Nd. Stanley Ganzel.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...