Mkurugenzi wa NSSF, Dkt. Ramadhan Dau (Wapili kulia), na mkurugenzi mkuu wa PPF, William Erio, na mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii, (SSRA), Irine Isaka (Kushoto), wakifuatilia maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 5, mfanyakazi bora wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Herman Kachima, wakati wan kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa zilifanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakipita kwenye maandamano mbele ya mgeni rasmi, rais Jakaya Kikwete (Hayupo pichani) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...