Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Clement Mshana akiwaeleza
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu mchakato wa kuwapata washindi watano
watakaokwenda kuangalia michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil kupitia promosheni ya Kwea
Pipa inayoendeshwa na TBC kwa kushirikiana na makampuni ya Push Mobile Media Ltd na Star Times
Ltd. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkuu Masoko na Mauzo kutoka Star Times Jack Zhou na kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa Push Mobile Media Ltd Freddie Manento.
Home
Unlabelled
TBC yaanza mchakato wa kuwapata washindi watano wa kwenda kuangalia michezo ya Kombe la Dunia nchini Brazil
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...