Meneja Uhusiano
wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL), Bw. Amini Mbaga (kulia) akijadiliana
swala na Mwenyekiti wa kituo cha watoto cha Mama wa Huruma, Mtawa Berna Mdendemi
mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
TTCL ilitoa msaada wa mifuko 70 ya sementi kuwezesha kituo hicho kuwa na
majengo yake.
Meneja Uhusiano
wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL), Bw. Amini Mbaga (kushoto) akiwasalimia
watoto wa kituo cha Mama wa Huruma mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. TTCL ilitoa msaada wa mifuko 70 ya sementi
kuwezesha kituo hicho kuwa na majengo yake
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...