Ubalozi wa Tanzania leo hii ulikutana na kufanya Manzungumzo ya pamoja kuangalia fursa za Kiuchumi zilizipo Tanzania na na kikundi na uongozi wa Malaysian Exporters Association.(MEXPA)
Kwenye picha ya pamoja baada ya mazungumzo hayo kutoka kushoto ni: Mr. Rogathian Shao,  Naibu Mkurugenzi na Balozi Mdogo, Dr. S. P.Dhanabalan Makamu wa Rais wa Kuala Lumpur & Selangor Indian Chamber of Commerce and Industry, Ms. Puan severan Dhalliwal- Makamu wa Rais wa MEXPA, Mr. Abdul Kabur Ibrahim-Rais wa MEXPA, Dr. Aziz Ponary Mlima- Balozi wa Tanzania Malaysia,Mr. Koh See Tiang- Secretary General MEXPA, Ms. Azizah Anuar- Mfanyabiashara Mr. Amani Mayage- Afisa wa Ubalozi.

Mazungumzo yaliangalia sekta mbali mbali kuanzia uzalishaji viwandani, utalii, elimu, kilimo na usindikaji wa mazao na.matunda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...