Home
Unlabelled
UKISTAAJABU YA MUSSA,UTAYAONA YA FIRAUNI: HUU NI MWENDO WA KWENDA KWENYE MAZISHI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Waghana ndio mazishi yao. Halafu wanazika kwenye majeneza ya gharama sana unaweza kuta jeneza li metengenezwa kwa dhahabu tupu (lote). Halafu majeneza yao wanadizaini mbali kama magari, unakutwa mtu amezikwa kwenye Hummer.
ReplyDeleteMazishi yanazidi kuwa complicated. Hata Bongo walianza na sare za kanga, T- shirt zenye picha ya marehemu sasa mambo yameluwa makubwa zaidi na michango na mikutano ya maandalizi. Kusini mwa Afrika wafiwa wanatunza maiti kwa miezi kadhaa wakijiandaa na kujipanga kwa mazishi.
ReplyDeleteMarehemu akiwa Bonge kama mie sijui kama kuna atakaye nyanyua mguu kwa madoido ni straight kaburini...lol!
ReplyDeleteJamani hiyo ndo harusi ya mwisho ya marehemu sio julia tu mwanzo mwisho,km yawezekana watu wayarudi mangoma kama wajaluo.
ReplyDeleteAfricans badala ya kwenda mbele mnarudi nyuma. kwapoleni
ReplyDeleteHivi usemi ni ukistaajabia ya Musa utaona ya firauni au ukistaajabia ya Musa hujaona ya firauni?
ReplyDeleteMaanake hapo kuna maana mbili tofauti kwamba ukishangaa gari basi utaona ndege au ukishangaa gari basi hujaona ndege
Msondo Ngoma OTTU JAZZ BAND waliimba:
ReplyDeleteMakamera na Video Misibani ya nini?
Ni bora gharama kubwa ingetumika kwenye matibabu kama aliugua ama kuwekeza nyuma kwenye Jamii kwa waliobaki wanaoendelea na maisha ama kuwekeza Mbele za Haki kama atakufa kifo cha kawaida (Natural Death)