• AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.

  • AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.

  • KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).
  • VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).

  • INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2014

    It will be a good idea to check their HIV and hepatitis B&C status before and after finishing their training, just a thought.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2014

    A complete physical and mental health check is needed once wakifika makambini ....ila sijui waliokuwa na hiv watasema au watatengwa maana hapo kuna uvunjikaji wa haki za bunadamu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...